Ahsante Nguli Gang Chomba, JF Sports Lady everlenk, mpwaaa Ziroseventytwo, Mzee mwenzangu Aleyn, Mkuu Malafyale na wakuu ndugu woteee
Ahsante my beloved Juventus, grande Carlitos, grande Morata
Ila sijamuelewa refa kutoka England Mr.Atkinson, sijaelewa kwanini Carvajal or whatever his name is kamaliza game bila kuona red card lakini all in all #FinoAllaFino na ahsante Juventus kwa kunipa zawadi bora kabisa ya birthday yangu 6th May
#ForzaBianconeri
viande wa kabumbu wanaanza kushobokea dundo la buluda.....wakati wajuzi wa mambo tulishajua kitambo kama madrid kukutana na sisi ndio baba jeni bye bye!.....kamba ya morrata ilizalishwa na pasi 27 za kibaba!haijawahi kutokea msimu huu wa klabu bingwa ulaya!yaani sasa hivi juve tunashinda na kufanya vitu adimu ambavyo vigoli hawajafanya!....kama kocha tunaye!max allegri mtu mbaya ile selection ya kuacha manguli kina lorente na matri na kumuanzisha morata ilizaa matunda!....alichokifanya stafano sturaro hakihitaji maelezo!dimba lote lake kuanzia mashariki mpaka magharibi,kaskazini mpaka kusini,tropiko ya kansa mpaka tropiko ya kaprioni ....ikweta yote yake ilikuwa jana!shughuli tumemaliza tunaenda kuhitimisha sebuleni kwao bernabeau

Cc: Salamander TUPACified Gang Chomba Aleyn MosDef everlenk juve2012 na vijana vijana wote wa JF, njooni msome hekima za myao wa tunduru
Kuna bwa mdogo alianzisha uzi na kumuweka St.Pirlo kwenye level moja na kijamaa flani hivi kinaitwa kroos, huo ukosefu tu wa heshima na adabu ulisababisha nisichangie hoja kwenye huo uzi, nadhani baada ya dk 90 atakua alijifunza kitu
Llorente katuangusha jana, tie ilikua imeisha kabisa kama angetunza makini yake kidogo tu, Vidal aliwameza vigoli wa madrid, Tevez aliwatetemesha mapepe na vibeki uchwara vyote vya madrid, Chiellini (anaongoza kwa kupiga pasi nyingi msimu huu kwenye champions league) alimficha kwenye mfuko wa matakoni mchezaji ghali duniani na kama kawa hakuwa na muda wa kucheka na kima, refa wa kiingereza alikua mngese sana
Tunapumzika mwishoni mwa juma halafu tunapeleka mdundiko kibarazani kwao, watukatie mauno weee mpaka wazazi wao Uefa wakasirike

mwanangu chomba hizo hufananisha na dhambi.....kipawa cha fundi pirlo huwa havipatikani mara kwa mara!vipaji kama vile huzaliwa kila baada ya miaka hamsini au inaweza hata hiyo miaka hamsini ipite kisizaliwe kipaji kama kile.....kabla huyo mtoto hajaanzisha huo ilibidi akamuulize carlo ancelloti kwa kuwa mmoja ni mwanafunzi wake sasa hivi na mwingine ni mwanafunzi wake wa zamani....namnukuu mwalimu carlo ancelloti ''hakuna kiungo mwenye ufundi na uelewa wa nini afanye dimbani katika dunia ya leo unayeweza kumfananisha na andrea pirlo''Kuna bwa mdogo alianzisha uzi na kumuweka St.Pirlo kwenye level moja na kijamaa flani hivi kinaitwa kroos, huo ukosefu tu wa heshima na adabu ulisababisha nisichangie hoja kwenye huo uzi, nadhani baada ya dk 90 atakua alijifunza kitu
Llorente katuangusha jana, tie ilikua imeisha kabisa kama angetunza makini yake kidogo tu, Vidal aliwameza vigoli wa madrid, Tevez aliwatetemesha mapepe na vibeki uchwara vyote vya madrid, Chiellini (anaongoza kwa kupiga pasi nyingi msimu huu kwenye champions league) alimficha kwenye mfuko wa matakoni mchezaji ghali duniani na kama kawa hakuwa na muda wa kucheka na kima, refa wa kiingereza alikua mngese sana
Tunapumzika mwishoni mwa juma halafu tunapeleka mdundiko kibarazani kwao, watukatie mauno weee mpaka wazazi wao Uefa wakasirike
Cc: Salamander TUPACified Gang Chomba Aleyn MosDef everlenk juve2012 na vijana vijana wote wa JF, njooni msome hekima za myao wa tunduru
mabeki wa kitaliano si unawajua vizuri lakini au?....muulize fundi wa mpira zizzou au ngiri suarez!....max allegri hupangaga ukuta wa mabeki watatu ila kwakuwa nyie wabishi tuliongeza level moja jana wakawa mabeki wanne...sebuleni kwenu kwakuwa mtakuwa mnapigiwa vigelegele na mke tunamtaka tunaweza ongeza waya wa umeme kabisa juu ya ukuta!barzagli akamaliza shughuli mapeemaaaaa!Wiki hii mnatakiwa muongee sana mmalize furaha yenu kabisa, kwasababu mi najua next week lazima mtakuja na visingizio kibaaao. Bernabéu siwaachi muende fainali. Na vile beki yenu inacheza faulo vile, mmekwisha.
Dah!! Nimewavulia kofia kwa maneno nyie watu!!....jana wewe ulitupia moja ukimjibu b5-click, kwenye Uzi ule wa yule dogo Gang Chomba alitupia moja hiyo sijui hata kama nilike au vipi nilipita kimya kimya duh leo tena myao wa tunduru.........respect wote..... #ForzaJuve .
Mourinho unatoa maneno yote haya kwanini? Au umemsaha buruda Anceloti? Ivi hii juve inalingana Na ile juve iliyoitoa Madrid ktk uefa mwaka 2005? Sio juve ikiwa Na wachezaji Wa kiwango km cha kina Nedved! Sasa bado hujavuka mto unaanza kutukana mamba?
Game yenu ya marudio itakua ngumu sn na huenda mkatolewa kwasababu Madrid wako Na buruda Mwenye akili sn kuliko huyo wenu juve kwa sasa. Juve bado hajavuka mkuu