Juu ya Uwezo wa Wanawake Kuongoza Linahitaji Mjadala Mpana -Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juu ya Uwezo wa Wanawake Kuongoza Linahitaji Mjadala Mpana -Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jnuswe, Jul 13, 2011.

 1. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nalileta hili kuhusiana na kinachoendelea katika Mbunge letu kwa sasa, nilijua ni Makinda tu hawezi kumudu kuongoza mijadala, J. Mhagama naye naona hakuna lolote ameshindwa kabisa kuhimili, nikaenda mbali zaidi kumkumbuka Sofia Simba ambaye aliwahi kutamka kauli mbozu kabisa akihusisha nafasi ya kupata uongozi na kugawa uloda.

  Ili linakuwaje ? najua pengine Tanzania inatawaliwa na mfumo dume wanaume wengi hawako tayari kutii amri wanapoamrishwa na mwanamke, Bunge limekuwa ka Kariakoo, nafuu hata Kariakoo mnaweza kusikilizana
   
 2. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Anza na Makinda speaker.
   
 3. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Makinda ndo najua ni bure kabisa lile joho zito kwake, angekuwa mungwana angeomba kulivua
   
Loading...