Pole sana MJ. Ila habari sijailewa vizuri
wakuu,
tunaomba pia kama kuna msaada wa ki-sheria jamani......!walau kujua namna ya kukabiliana na hizi criminal offences:doh::doh:
umeona eeh!Baba Gift nakubaliana kuwa ushauri wa kisheria unatakiwa hapo.
Kuna case ilitokea, a bit similar ya mtu kuunganishwa kwenye mashtaka ya mauaji. Wezi waliingia nyumbani kwake usiku, wenye nyumba wakapiga kelele, wezi waliporuka ukuta mooja wao akakamatwa na wananchi akapigwa hadi kifo. Jamaa mwenye nyumba (hakushiriki kupiga mwizi) alikamatwa na alisota lupango muda mrefu. Baadaye ikaonekana hakuna kesi lakini alishasumbuliwa sana.
baba gift (sipendi kulitamka hili jina), kwa uzoefu wangu hapa inaonekana kama traffic case tu...nothing criminal! mj hana haja ya kuogopa sana, muhimu ni kujiweka sawa kwa kesi kama hizi zenye penalt zenye faini au kifungo au vyote kwa pamoja (nadhan nimeekeweka).umeona eeh!
tumsaidie ndugu yetu wajameni....