Justine Nyari ndiye habari ya Arusha mjini kwa sasa

Kweli ccm imejichokea, wanakua proud kabisa kutangaza kuwa jambazi anagombea ubunge! Sasa umewapa ushauri mzuri Nnyari agombee ubunge, na halafu Banjoo na Jumanne udiwani! Pata picha Arusha itakuwaje

Muongeze na Eugen! walikuwa kampani moja hao.
 
Back
Top Bottom