Just wake up, kung'uta mavumbi and go on!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Just wake up, kung'uta mavumbi and go on!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NewDawnTz, Apr 4, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Leo nimepata ugeni nyumbani kwangu wa binti mmoja ambae alikuja kuniona na wife akitafuta ushauri baada ya kuumizwa na mwanaume aliemwamini kiasi cha kuwa huru kumpatia ule uthamani wake kama binti (wakubwa wenzangu mnaelewa hapa) lakini baada ya muda jamaa akaamua kuachana nae....

  Without going into detail, kwa ufupi ni kuwa msichana amekata tamaa.................she doesn't trust in love again............she doesn't trust in men again...........Amekata tamaa kabisa na hakuwa akiamini kuwa she can be one day................thanks wife alipitia experience kama yake and she helped her trust again that one day she can live her dream provided she keep on trusting herself and believe that she can get her perfect match, her perfect man...

  Nilimtazama yule binti and one thing came over my mind...we have many outside there ambao experience hii imewakatisha tamaa and they do not believe in love again

  My advice to you ni kwamba, please wake up from where you have fallen, angalia ni nini kimekuangusha, take a step ahead kwa makini and one day you will find a man or a woman who will make you forget that past experience

  Yes, where seems to be bad end it is by the way a nice begining....Trust in God, keep on praying and one day you will find her/him.......Take care of your own self and how you trust and perceive in love.......
  YOUR OWN SELF IS THE IMPORTANT THING TO TAKE CARE OF IN SUCH A TIME

  Cha muhimu kuliko vyote, no matter how it pained you, do not loose hope in YOURSELF...Wewe bado ni wa thamani na Mungu wako anataka uendelee kuona uthamani wako na kuamini ya kuwa siku moja yuko mwanamume mmoja au mwanamke mmoja atakaekufuta machozi yote

  ....... build your confidence back....Trust in Yourself, Believe that all-loving-God is there watching for you to ask so He can send his assistance........

  Nawapenda wana-JF wote na usiku mwema na mchana mwema au jioni njema kwa wale ambao kwao sasa sio usiku
  ......... This is my dedication to you all, click the link and you can download it na sikiliza kwa makini na kwa utaratibu and YOU will understand that it is only love (which ofcourse did let you down in the first place) that will lift you up again...

  YouTube - Love Lifted Me -Women of Faith
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahh
  sante sana
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nashukuru sana, ubarikiwe.
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Maneno yako yamejaa busara na hekima. Asante!
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Muda huponya majeraha yote, hamna haja ya kung'ang'ania maumivu ya moyo
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Ahsanteni sana nyote pia.........nawapenda na nawaombea maisha yenye raaaaahaaaa katika mahusiano  That is absolutely true Naz.....kuna wengine wanataka hata kuukatisha uhai wao kwa jambo kama hili

  Women if you think there are no good men just simply because one man did let you down, you are deadly wrong ...wako wengi sana

  Men, if you think there there are no good women just simply because one woman did let you down, you are with no doubt more than wrong ...there are many of them
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Asante ubarikiwe na wewe jioni njema
   
 8. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Thanks, maneno yako yamenifariji sana najiona mpya kabisa sasa baada ya kuyatafakari
   
 9. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mie sina ya ziada mkuu nimekugongea senks hapo juu.uliosema ni ya busara sana.
   
 10. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa maneno ya faraja ubarikiwe na bwana
   
 11. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Maty, it is my prayer that you be more than new
  Ahsanteni woooooteee ....na nikiongea kwa lugha ya ukweni nitasema....Naase Slemero
   
Loading...