Just stay away from me girl


Asant sana kwa ushaur wako mkuu na ntauzingatia ipasavyo. Km ulivyosema huenda Mungu aliniepusha na kitu ambacho sikukifaham, so inabid nimwache tu na yake, na mm nibaki na yangu!
 
Tatizo Dada Zetu Wanapenda Haraka Bila Kufikiri Mwishowe Wanasahau Kuwa Subira Yavuta Kheri Ndiomaana Wanaangukia Kwa Pua

Kweri kabisa ofisa jamii, rabda nkutumie namba yake ukariarest mapema kabla harijajitoa duniani aisee!
 
UPWEKE +UMBALI = STUPIDITY ...... ni tatizo kubwa sana kwa mwanamke ,,..mwanamke akiwa mpweke kama hajui anahitaji nini aisee lazima anaswe tu.......... ungetakiwa ujue haya kabla ya kumuhukumu huyu mrembo.. kazalishwa sawa ila kama unampenda why not take care of her.... any way kama kajiua basi make sure u take care of her kids japo ni sperm ya mwningine siyo yako ,,
 
pole kwa binti, yani hapo kupata mume tena ni majaariwa plz nitumie namba yake nimfariji kipindi kigumu sana hicho
 
Asant kwa ushaur mwamba wangu Innocent. Kwa sasa nshampotezea naangalia mambo yangu, na yy km bado hajajimaliza aangalie yake. Sina mda tena wa kukimbizana nae kimapenzi mpuuzi huyu!

Fanyaa kwelii asikupotezee muda wako.yeye alikuona wa nn .kumbee kuna ambaye alikuwa anajiuliza atakupata Lin
 

My best miss chagga kwa sasa siwez ku take care of her kwa 7bu nina m2 anaenihusu ambae ndio atakuwa my future wife. Huyu Martha kwa sasa nnachoweza kufanya ni kuwa nae km friends tu na kumsaidia pale nnapohitajika kufanya hivyo. Kuhusu mtoto wake, nafikir mtoto ana baba ake na baba ana ndugu zake, so ata km baba kaingia gizani anaweza kumchukua mtoto akampeleka kwa ndugu wa baba kwa msaada zaidi. Na endapo itashindikana basi akiwa na tatizo mi ntamsaidia kwa hiari yangu mwenyew na sio kwa kutaka kwake yeye. Nashkur kwa ushaur my best!
 
pole kwa binti, yani hapo kupata mume tena ni majaariwa plz nitumie namba yake nimfariji kipindi kigumu sana hicho

Hahahaha..nikutumie namba ake, au na ww unataka kumuongeza kichwa cha pili?
 

yah ni kweli ila ni vizuri kujua pia sheet happen in life na usimuhukumu sana u never know.... namwonea huruma sijui kwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…