ndo maajabu ya baadh ya akina dada hayo. Huwa wajichanganya tu then wanakuja kujutia milele. Btw nadhan hajajiua ameamua awe mpole aone next move utakayofanya. Ukikaa kimya inawezekana akakutafuta tena so jiandae kwa hlo.
Kwa Raha zako...
There is a thin line between love and hate! All that hate you still love her!
samahani, we ni mhaya?
Samahani labda mimi mgumu kuelewa, sijasoma sehemu ya manyanyaso hapo labda nieleweshe wapi amemnyanyasa?
Ebu nikuulize,huyo martha mtoto wake ni wa kiume au wa kike?
Tukushaur Nin Na Unategemea Kufunga Ndoa? Mludie Martha
Yani hata usigeuke. Mimi nilizaa nae na mtoto nikabeba, yani hata akifa siendi.
muombe mchango wa harusi......bro endelea na maisha yako.....
alivyoenda kwa msouth HAKUDHANI NAWEWE UNGEJIUA!!?? labda.. bob hizo mbinu zake tu mkazie.. nani alimwambia atoe mkojo kwa msouth
Mtumie tudola kidogo akanunue sumu yenye tbs
Hata ujafanya kosa kwa hayo majibu mbona tena n malaini tu ungempa magumu zaidiii ilii akafe kwelii yaani hawa wanawakee hawaa cjui watafunguka Lin akilii na ahadi zote bado hakuridhika piga chin mkuu
Huwa nawahurumia sana wadada ambao wametelekezwa na jamaa zao baada ya kuzaa nao. Wanaonekana kama rejects vile, it's like they don't have right to love and be loved....!
Tenaa n mpuuziiii kabisa narudia n mpuuzii mshenzi mkubwaa mkuu tenaa ungemsaidia hiyoo hela ya kukununua sumu pumbavuu kabisaa