Sikumnyanyasa mkuu, isipokuwa yy mwenyewe ndio kaamua kujinyanyasa kwa kutembea na m2 ambae hakuwa anamjua vzr. Matokeo yake kamdunga zigo na kutokomea kusikojulikana. Na kuhusu kumsamehe mbona msamaha wa kawaida nshaufanya na tukawa marafiki sasa hili swala la kutaka tena kuniingilia ktk maisha yangu ya ndoa linatoka wap? Yeye kafanya yake nikamlaum yakaisha, na mm aniachie nifanye yangu alaumu yaishe, lkn c kunipiga mkwala wa kifo ili niachane na anaenipenda kweli na kurudiana na huyu mpuuzi. I could never allowed her 2 spoil my future, coz she alrd spoil her own. That's y I need her 2 stay away frm me. But thanx 4 ur advice bingwa!