Hahahahaha - clever girl..
imenikumbusha mwarabu mmoja, alikuwa hajawahi kuvaa suruwali,
siku moja kazini kwake wakamwambia utakwenda course UK, siku ya
kuondoka kafika air port jamaa wanamwambia mbona hukufunga zip
hajui nini zip, airport staff wananwake wanacheka kichwa na mavuzi
yametoka nje, alikuwa hakuvaa chupi, wenzake alokuwa nao ndio
wakamsaidia hahaha.