Unanisubiri wapi, na niko hapoBado namsubiri huyo stranger wa kubadili maisha yangu ndio nilete ushahidi
Em fanya maajabu na wanaJf wapate ushuhudaUnanisubiri wapi, na niko hapo
Washaanza kuchanga tule wali.Em fanya maajabu na wanaJf wapate ushuhuda
Nipo hapaBado namsubiri huyo stranger wa kubadili maisha yangu ndio nilete ushahidi
Sawa sawa tajiriiiNipo hapa
Hivi kumbe ndoa ndio inabadili maishaWashaanza kuchanga tule wali.
Haswa, unaachana na mambo ya mabachela.Hivi kumbe ndoa ndio inabadili maisha
Asante sana mkuu.nime jifunza vitu fulani kutoka kwa Kiranga, he is an amazing dude.
Sometimes we speak, or joke but I usually take a few lessons from the whole conversation.
Muda sahihi uki fika basi ita fanyika tu,Asante sana mkuu.
Nilitaka kuchangia msaada wangu kwa watu nisiowajua hapa, changamoto za kusaidia hivyo, lakini mara nyingine kukaa kimya ni vizuri zaidi.
Sawa buanaHaswa, unaachana na mambo ya mabachela.