Just a stranger tu

Just a stranger tu

xivii09

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
269
Reaction score
156
Naomba tu share experience ya maisha ili wengine wapate kujifunza pia Kuna watu unakutana nao ktk maisha ambayo ni (stranger) tu siyo ndungu,rafiki au jamaa uliyewai kufahamiana nae kabla lakini alibadili maisha Yako kabisa inaweza kuwa ni kazi,afya biashara au connection tupe experience yako
 
nime jifunza vitu fulani kutoka kwa Kiranga, he is an amazing dude.

Sometimes we speak, or joke but I usually take a few lessons from the whole conversation.
 
Asante sana mkuu.

Nilitaka kuchangia msaada wangu kwa watu nisiowajua hapa, changamoto za kusaidia hivyo, lakini mara nyingine kukaa kimya ni vizuri zaidi.
Muda sahihi uki fika basi ita fanyika tu,

UKimya ni jambo zuri, ila neno Moja laweza badilisha tafsiri 1 ya jambo.
 
Back
Top Bottom