kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,516 Reaction score 17,442 Dec 28, 2025 #21 Million 4
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,429 Reaction score 77,345 Dec 28, 2025 #22 Kubabake yaani ukiwa na hela ndogo ndiyo vitu kama hivi vinakuja kutahamaki haujafanya chochote na pesa imeisha
Kubabake yaani ukiwa na hela ndogo ndiyo vitu kama hivi vinakuja kutahamaki haujafanya chochote na pesa imeisha
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 4,345 Reaction score 9,397 Dec 28, 2025 #23 Naomba uweke mchanganuo wa hiyo 4.5m kuinua boma mpaka kupaua!!! ni hatari sana, au mimi ndio sijaelewa
Naomba uweke mchanganuo wa hiyo 4.5m kuinua boma mpaka kupaua!!! ni hatari sana, au mimi ndio sijaelewa
Bin Kawambwa JF-Expert Member Joined Oct 9, 2012 Posts 483 Reaction score 363 Dec 29, 2025 Thread starter #24 Bwana Tony Cipriano said: Naomba uweke mchanganuo wa hiyo 4.5m kuinua boma mpaka kupaua!!! ni hatari sana, au mimi ndio sijaelewa Click to expand... Sasa hapo tyr naingia kazini, haiwez kua bure tu, chukua hizo picha unampa fundi wako wa karibu akupe hesabu yake then utalinganisha, Ukipenda unaweza ku-share na sisi hapa. Ila mimi nafanya mchanganuo pale kazi inapokua karibu kufanyika.
Bwana Tony Cipriano said: Naomba uweke mchanganuo wa hiyo 4.5m kuinua boma mpaka kupaua!!! ni hatari sana, au mimi ndio sijaelewa Click to expand... Sasa hapo tyr naingia kazini, haiwez kua bure tu, chukua hizo picha unampa fundi wako wa karibu akupe hesabu yake then utalinganisha, Ukipenda unaweza ku-share na sisi hapa. Ila mimi nafanya mchanganuo pale kazi inapokua karibu kufanyika.
Bin Kawambwa JF-Expert Member Joined Oct 9, 2012 Posts 483 Reaction score 363 Dec 29, 2025 Thread starter #25 kelphin said: Million 4 Click to expand... Exactly 💯 kabisa
Bin Kawambwa JF-Expert Member Joined Oct 9, 2012 Posts 483 Reaction score 363 Dec 29, 2025 Thread starter #26 Makebo said: kwa maana hiyo unapikia chumbani, au hakuna kupika msosi kwa mamam ntilie Click to expand... Huyu amejenga kwa ajili ya wageni, Ila kila mtu anajenga vile anapenda.
Makebo said: kwa maana hiyo unapikia chumbani, au hakuna kupika msosi kwa mamam ntilie Click to expand... Huyu amejenga kwa ajili ya wageni, Ila kila mtu anajenga vile anapenda.
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,138 Reaction score 8,308 Dec 29, 2025 #27 Kazi nzuri... Kuna mtu aliniambia ujenzi hauna mwisho....
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,524 Reaction score 135,627 Dec 30, 2025 #28 ndege JOHN said: kama kweli unatumia 4.5 basi tuuzie hata kwa 6 million tunakupa Click to expand... Boma tu bila finishing
ndege JOHN said: kama kweli unatumia 4.5 basi tuuzie hata kwa 6 million tunakupa Click to expand... Boma tu bila finishing
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 59,524 Reaction score 135,627 Dec 30, 2025 #29 Bwana Tony Cipriano said: Naomba uweke mchanganuo wa hiyo 4.5m kuinua boma mpaka kupaua!!! ni hatari sana, au mimi ndio sijaelewa Click to expand... Hako kajumba kadogo hakana hata sebule. Kifupi kajenga vyumba viwili na choo.
Bwana Tony Cipriano said: Naomba uweke mchanganuo wa hiyo 4.5m kuinua boma mpaka kupaua!!! ni hatari sana, au mimi ndio sijaelewa Click to expand... Hako kajumba kadogo hakana hata sebule. Kifupi kajenga vyumba viwili na choo.