Jussa na Lissu wapo live DW Ujerumani

Jussa na Lissu wapo live DW Ujerumani

Hofu ya nini DrSlaa ni wa CDM daima.waache mafisi yafuatilie yakidhani mkono utadondoka!saa ya ukombozi ni sasa ng'oa hayo mafisi sasa.
 
Tatizo la Lissu he is too much human, wakati kwenye siasa unatakiwa uwe too much monster. Kwa mfano ile point yake Cdm walikuwa hawana nguvu umasaiini , na ukanda wote wa Pwani. Ni ukweli lakini hakutakiwa kuwa muungana ki vile.
 
Mi naona kama ni anguko kubwa la upinzani, nawezaje kwenda vitani bila Dr. Slaa? Tetty

Waache wajidanganye.Ila watakuja mpigia magoti waliyemtukana.Pole zao.Huyo Nkya sijawahi muona akitetea upinzani hata siku moja.Wote hao ni walewale.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom