Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
Nonesense. Kwa nini unaandika vitu vya kudhania?
Ismail Jussa, mwanasiasa kijana wa Visiwani wa CUF anangojea kurithi mikoba ya ufisadi ya Rostam pindi Muirani huyo atakapotimka nchini. Wawili hawa ni maswahiba wakubwa sana na kinachoendelea kati yao si vigumu kukijbaini -- kuwaibia Watanzania. Hivi sasa yuko katika -coaching kabambe ya namna ya kuzinasa dili za kifisadi -- za visiwani na hapa Bara.
ni bora wasilete kuliko kukaa na kuwaza halafu kupost JF, we should be careful adn better than thatLets not judge him first Mkuu, tumuombe atupe evidence, au ni kipi anachojua atujuze lets give him time to respond Tukiwa wakali tutafanya watu waogope kutuletea habari