Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Jumuiya ya wazazi ya chama cha mapinduzi CCM Jimbo la Mchinga imemuunga mkono Mbunge wa Jimbo hilo mama Salma Rashid Kikwete kwa kumchangia Fedha kiasi cha shilingi laki moja zitakazomsaidia kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge muda utakapofika.
Makabidhiano hayo yamefanyika Katika ofisi ya Jimbo hilo iliyopo Kata ya Mchinga manispaa ya Lindi ambapo wajumbe wa jumuiya hiyo wakaeleza kuwa miongoni mwa sababu ya kumchangia kiasi hiko cha pesa ni kutokana na kazi nzuri alizofanya Mbunge huyo.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Mama Salma Kikwete ameishukuru Jumuiya hiyo kwa kuthamini kazi anayoifanya Katika kufikisha Maendeleo kwenye Jimbo hilo.