BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Nilitegemea jumuiya ya Wafanyakazi kipindi hiki wangesimama kidete kutetea maslahi ya wafanyakazi dhidi ya uwekezaji wa kifisadi unaofanywa na bodi ya NSSF Kwa manufaa yao binafsi badala ya wafanyakazi wanaochangia.
Nssf wanafanya mizengwe ya kuzuia.
sheria ya fao la kujitoa ili hela za mwanachama ziendelee kubaki kwao na waendelee na uwekezaji wao wa hovyo wa kununua ardhi kwa eka million mianane na mikataba mingine ya ujenzi yenye maslahi yao.rejea ripoti ya CAG 2014/5
Sijasikia hawa viongozi wa jumuiya ya Wafanyakazi wakipaza sauti zetu kulaani kinachoendelea.wamekaa pembeni kama mazuzu wakati ilikuwa ni kipindi kizuri kuichagiza serikali ivunje bodi nzima ya NSSF na kuishtaki kwa kuhujumu hela za wanachama.
Viongoziwa jumuiya ya wafanyakazi nani amewaroga katika hili? mnasubiri kwenda bunge la katiba mkapewe posho