Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,126
- 9,593
Hii imenishangaza Kila nkiangalia habari kuhusu siasa za Tanzania, kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi wa upinzani Tanzania wanamtaja Tundu Lissu pekee.
Hii ni tofauti kabisa na huku kwetu ambapo kuna viongozi wengi sana wa -vyama kama Kina Mzee Rungwe,Lipumba,Chief Ryemba.
Je ni sahihi kuwa opposition leader Kwa Tanzania ni Tundu Lissu pekee?