Merlin nimemcheki nayo ni nzuri,kama Merlin ipo kwenye list ambazo umeilewa halafu Jumong haipo basi shida sio Jumong ni wewe mwenyewe kutaka series kuelewa kwa upesi kitu ambacho hukipati kwenye Jumong maana pale kama upo darasani ikibidi ukae na daftari na peni kabisa na concentration ya hali ya juu hapo utaona .Aah we unaipigia promo kama dalali ila mimi kiukweli ile series ilinishinda.
Ile miaka ambayo Jumong ana kiki mimi nilikuwa nakesha na Merlin, ile ndio series ambayo nilikuwa naielewa.
Kwa Korea ukiachana na ile Iris, Innocent Defendant na Squid Game basi sidhani kama kuna nyingine ambayo niliwahi kuikubali.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣wavuta bange wanaipigia promo nikaona ni picha nyepesi sana kuiangalia .
Mi naona huyu jamaa hapendi picha za kihistoria ndo tatizo lake. Mfano hata mi kuna picha siwezi angalia nikaelewa kama ile ya boys over flowerMerlin nimemcheki nayo ni nzuri,kama Merlin ipo kwenye list ambazo umeilewa halafu Jumong haipo basi shida sio Jumong ni wewe mwenyewe kutaka series kuelewa kwa upesi kitu ambacho hukipati kwenye Jumong maana pale kama upo darasani ikibidi ukae na daftari na peni kabisa na concentration ya hali ya juu hapo utaona .
Mimi Squid game sijawahi kuicheki na sitowahi kuicheki nilivyoona imetrend sana mpaka madogo wa shule ya msingi ,wavuta bange wanaipigia promo nikaona ni picha nyepesi sana kuiangalia .
Squid Game imeelezea maisha halisi yanayomlenga kila mtu kawaulize kausha damuMerlin nimemcheki nayo ni nzuri,kama Merlin ipo kwenye list ambazo umeilewa halafu Jumong haipo basi shida sio Jumong ni wewe mwenyewe kutaka series kuelewa kwa upesi kitu ambacho hukipati kwenye Jumong maana pale kama upo darasani ikibidi ukae na daftari na peni kabisa na concentration ya hali ya juu hapo utaona .
Mimi Squid game sijawahi kuicheki na sitowahi kuicheki nilivyoona imetrend sana mpaka madogo wa shule ya msingi ,wavuta bange wanaipigia promo nikaona ni picha nyepesi sana kuiangalia .
Kiukweli huyu jamaa anaonekana anapenda zilf filamu za kunyanduana, yaani kwangu ukitoa jumong, nyingine ni lord of the ring kidogo inanivutia, lakini hizo wanazozisifia sana hapa eti zimepewa rate ya 9/10, ama 8/10 mie naona mikwara tu hiyo.Merlin nimemcheki nayo ni nzuri,kama Merlin ipo kwenye list ambazo umeilewa halafu Jumong haipo basi shida sio Jumong ni wewe mwenyewe kutaka series kuelewa kwa upesi kitu ambacho hukipati kwenye Jumong maana pale kama upo darasani ikibidi ukae na daftari na peni kabisa na concentration ya hali ya juu hapo utaona .
Mimi Squid game sijawahi kuicheki na sitowahi kuicheki nilivyoona imetrend sana mpaka madogo wa shule ya msingi ,wavuta bange wanaipigia promo nikaona ni picha nyepesi sana kuiangalia .
Intelligence series hupendi ?...au fiction ni nyingi...MOvie za true story huwa nazipenda, hasq za kale.
Jumong, spartacus, ertugrul na nyingine jamii ya hizo zimenikosha saana.
Me nadhani unakosea kulinganisha vitu ambavyo viko tofautiWapenzi wa siries,
Katika kufuatilia kwangu siries hakuna na sijaona yenye stori nzuri kama jumong, si game of throne,
Breaking bad
Giant
24
Iris wala walking dead ambazo zimekuwa zinasifiwa sana hapa jukwaani, japo hii ya jumong ni ya kitambo lakini inastori ya kueleweka kuliko hizi zinazosifiwa hapa, washiriki kama
Hae musal
Geum wa
Jumong
Yeo ta bal
Lady yeum wa
Mo pal mo
Sosiono na marafiki zake na jumong ambao walikua kitaa na baadae kuwa watu muhimu baada ya jumong kuwa mfalme walinivutia sana.
Sijaona nzuri kama jumong kweli
Kwahiyo "Merlin" ni bora zaidi ya 'Breaking bad" ?. Dude sijui unatumia vigezo gani.Yaani ile series kiukweli linishinda naiona kama ipo overrated tu kama breaking Bad
Breaking Bad kwangu naiona ipo overrated kama GOTKwahiyo "Merlin" ni bora zaidi ya 'Breaking bad" ?. Dude sijui unatumia vigezo gani.
Intelligence series hupendi ?...au fiction ni nyingi...
Movie gani hii
Movie Gani hii?
Aiseee,umenikumbusha mbali,hivi hamna ya hivi karibuni iliyotoka yenye jumongWapenzi wa siries,
Katika kufuatilia kwangu siries hakuna na sijaona yenye stori nzuri kama jumong, si game of throne,
Breaking bad
Giant
24
Iris wala walking dead ambazo zimekuwa zinasifiwa sana hapa jukwaani, japo hii ya jumong ni ya kitambo lakini inastori ya kueleweka kuliko hizi zinazosifiwa hapa, washiriki kama
Hae musal
Geum wa
Jumong
Yeo ta bal
Lady yeum wa
Mo pal mo
Sosiono na marafiki zake na jumong ambao walikua kitaa na baadae kuwa watu muhimu baada ya jumong kuwa mfalme walinivutia sana.
Sijaona nzuri kama jumong kweli
Kweli sijaona tena.Aiseee,umenikumbusha mbali,hivi hamna ya hivi karibuni iliyotoka yenye jumong
?
Ni bora ungesema the THE PROMISE(pangako sayo) ya Angelo na Yna kuliko huo upuuzi[emoji3][emoji3]Wapenzi wa siries,
Katika kufuatilia kwangu siries hakuna na sijaona yenye stori nzuri kama jumong, si game of throne,
Breaking bad
Giant
24
Iris wala walking dead ambazo zimekuwa zinasifiwa sana hapa jukwaani, japo hii ya jumong ni ya kitambo lakini inastori ya kueleweka kuliko hizi zinazosifiwa hapa, washiriki kama
Hae musal
Geum wa
Jumong
Yeo ta bal
Lady yeum wa
Mo pal mo
Sosiono na marafiki zake na jumong ambao walikua kitaa na baadae kuwa watu muhimu baada ya jumong kuwa mfalme walinivutia sana.
Sijaona nzuri kama jumong kweli
[emoji1787][emoji1787] series umeanza kuangalia lini?Nambie mwana lunyas, ni wapi penye kitu chenye stori ya kueleweka kama ama kuzidi jumong?
Usiku wa kesho[emoji1787][emoji1787] series umeanza kuangalia lini?
Hizo mbili za mwisho tu ndio nimetazama mpaka mwisho. Hiyo ya kwanza niliishia episode ya 321. Six Flying Dragons
2. Jumong
3. Tree With Deep Roots
4. The Royal Gambler
5. The Great Queen Seondeok
Nilichohuzunika hiyo ya kwanza ina mwisho ambao niwa majonzi. Hizo mbili pia Jumong na Tree With Deep Roots ni nzuri sema nahisi kwakuwa ni mdada unapendelea drama zaidi ya harakati na mapigano mapigano.Hizo mbili za mwisho tu ndio nimetazama mpaka mwisho. Hiyo ya kwanza niliishia episode ya 32