Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
.....hahahahahaha....'tajiri' wewe kwa kuhamisha magoli kiboko!Mkuu. Ukiwa tajiri kuna protocol zake.. Ukipenda kujiongele sana utaishia kuiboa jamii.. So inabidi ukizungumza unazungumza in 3rd person or in prural... Ukipenda kujiongelea kwa mf useme 'nimejenga ghorofa' haileti picha nzuri kwa audience...
Tumejenga nyumba ya ghorofa juzi juzi na ni kubwa kuliko hiyo... Mpaka sasa imekula kama milioni mia moja na ishirini...
ina maana hii nyumba ina thaman kubwa kuliko lile ghorofa alilonunua diamond south Africa? madalali tuoneeni huruma
Humu less than 10m. Kwani humu 79% ni madenti wa form 4 na vyuoJamii forum wapo watu wachache wenye HELA kuanzia million 100 na kuendelea
Hilo hela yako hata kiwanja cha mita 20 kwa 20 hupati Bunjunjoo uchukue milioni 10 fasta
View attachment 441522 View attachment 441523 View attachment 441525
Ujenzi wake umefikia asilimia 75 (%). Lipo mashallah! Lina vyumba vinne vya kulala vyote vina vyoo na mabufu yake NA chumba kikubwa au masta chenyewe kina ile kitu inaitwa “walk in closet” yaani kuna chumba kidogo cha makabati na choo na bafu pamoja na sehemu ya Jacuz..kuna jiko na stoo, sebure kuwa na sehemu ya kulia chakula…juu ya nyumba kuna kibaraza kikubwa… na ukiwa hapo unaitazama bahari ya Hindi na kuhusikilizia upepo wake. Pia kuna chumba maalum kwa ajili ya kusomea na TV.
Uzuri mwingine wa nyumba hii imejengwa vizuri kiasi kwamba mwangaza wa jua na hewa vinaingia, pia kiwanja chake kina ukubwa wa 1900 mita za mraba na kina hati miliki.
Kiwanja kipo katika maeneo yaliyopimwa na kupangiliwa no Squatters
Bei tshs 400mil. Maelewano yapo. Mawasiliano kwa njia ya sms au kupiga 0755312233 na 0784225000 kwa whatsapp au email: info@kitomai.com
Hivi kweli unaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa kuna fundi anayeweza kukujengea nyumba mpaka stage hiyo kwa sh mil 15?
Take note of these things:
Nyumba imepigwa plaster.
Nyumba imepakwa rangi
Nyumba imefanyiwa plumbing
Nyumba imewekwa grill chini
Nyumba imefanyiwa wiring (see the hanging wires)
Nyumba imewekewa tiles (see the veranda)
Nyumba ni ya ghorofa
Tathmini yako haina uhalisia hata robo. Actually namhurumia anayeuza nyumba yake katika hatua hiyo kwa sh mil. 400. Hakuna faida ya maana atakayopata.
Hapo kwenye ufundi, makadirio reasonable would be :
Kuchora ramani mil
Msingi mil 4.2
Kunyanyua mil 1.7
Slab mil 3.5
Kunyanyua juu mil 1.5
Paa mil 1.5
Grill 0.4 (just fitting)
Plaster mil 10
Rangi mil 4.5
Wiring 0.6
Plumbing mil 1
Tiles (kama ziko kote) 1.5 mil
Hii ni jumla ya 31.4 mil kwa makadirio ya chini bila kujumlisha kazi za hapa na pale kama ulinzi, kubeba materials, kufumua mbao, kubeba maji na nyingine. So to be safe, pesa ya ufundi hapo utenge kati ya mil 45-50 ili kufikia hatua hiyo.
Unawasemea watuJamii forum wapo watu wachache wenye HELA kuanzia million 100 na kuendelea
Kwa sababu ni gharama ndogo. So inaingia kwenye mengineyo.Hivi mbona huwa hamjumlishi gharama za maji kwenye ujenzi?