Jumba la gorofa linauzwa Bunju

Nyumba yenyewe haijasha ela 400 acha utani na ela
 
Siwezi kukupa breakdown ila nimekupa totoal na nimekwambia nyumba ni kubwa kuliko hiyo hiyo inaingia mara moja na nusu... Kama unataka nitafute weekend nikupeleke site...
Ok. Mtu aliyejenga recently hategemewi kupata shida kupata makadirio ya breakdown ya hizo gharama.
 
Tanzania ni nchi yenye vichekesho sn .

Hiyo nyumba thamani yake milion 400 ...hapo hapo ukimuuliza hebu ni ambia au nipe maelezo ya kunifanya ni kubali hiyo thamani yake.... cjui kama atukupa maelezo sahihi.

Nakutakia biashara njema.
utaskia he haya maeneo ya uku nyumba ni garama sio mchezo si unaona bahari ile pale,haha j sasa mimi nanunua bahari au nyumba
 
ni kweli inaweza kuwa ivyo ,,lakina hata mchanganuo wako hauko sahihi! nyumba aikamiliki kwa ulivyotaja japo juu
 


Ufundi kupiga plaster 10 m, unapiga plaster nyumba za mtaa zote au hilo ghorofa tu?
 

Hahahaha umeongea fact mkuu.watu wanachukulia watanzania bado mazombie hatujui garama za ujenzi.tena wewe umefanya estimation kubwa sana. Kuhalisia matofali hapo ni elfu 15 kila moja 1000 jumla 15,000,000. Fundi 10000000, cement 1000 sawa na 12000000,kupaua hapo hakuna kimo so itazid kidogo garama za nyumba ya kawaida.bati msauz moja 36000, yanaingia kama 150 pamoja na fundi na mbao jumla ni 8000000 haifiki kupaua iyo.nondo kokoto hapo za mil 10.jumla esabu sahihi hapo ni 55 mil plus kiwanja 30 mil jumla 85
 
Nyumba za bongo zina bei kuliko hata South Africa, anyway nyumba nzuri sana wenye nazo watakutafuta
Madalali ndio husababisha bei kuwa juu ila ukikutana na mhusika mambo yataenda vizuri.
 
Asalaleee milioni 400 ? Mbona bei rahisi hivyo wakati wa Jakaya hiyo unauza bilioni kabisa
 
Hapo ilipo...unadhani itahitajika kiasi gani kuimalizia iwe SUPERB
 
Tanzania ni nchi yenye vichekesho sn .

Hiyo nyumba thamani yake milion 400 ...hapo hapo ukimuuliza hebu ni ambia au nipe maelezo ya kunifanya ni kubali hiyo thamani yake.... cjui kama atukupa maelezo sahihi.

Nakutakia biashara njema.
Hizo bei za dalali mkuu
 
Kiwanja chenye hati cha kupimwa sqm 1900 mil 30 Bunju B Baharini?? Aiseee kweli JF sasa ni Home of Great Sinkers!
 
Fundi kuanzia kwenye msingi,zege la chini,ujenzi wa boma,silabu na kupaua unasema sh mil 15 !!????this is a big joke
 
Upo sahihi saaana mkuu ww unaujua ujenzi haswa na gharama ulizoweka hapa zina uhalisia 90% mimi najenga sasa hv na gharama ulizoweka humo ndio hizo ninazolipa mm
 
Tumejenga nyumba ya ghorofa juzi juzi na ni kubwa kuliko hiyo... Mpaka sasa imekula kama milioni mia moja na ishirini...
Ukishamuona mtu anaanza sentensi na "Tume...."
Basi ujue hizo gharama hazikutoka mfukoni kwake hivyo hajui hata anachokiongea ni wa kupuuzwa tu.Utakuta nyumba anaejenga ni shemeji yake au babaake
Ningekusikiliza ungeanza na kauli kuwa "nimejenga nyumba kwa gharama kadhaa wa kadha...."
 
I agree with u 100%
 
Siwezi kukupa breakdown ila nimekupa totoal na nimekwambia nyumba ni kubwa kuliko hiyo hiyo inaingia mara moja na nusu... Kama unataka nitafute weekend nikupeleke site...
Kumpeleka mtu site hio ni mikwara mbuzi,utaipeleka jamii forum yote huko site kwa shemeji yako mkuu???
Lete nondo humu km kweli watu wadadavue
 
Mkuu. Ukiwa tajiri kuna protocol zake.. Ukipenda kujiongele sana utaishia kuiboa jamii.. So inabidi ukizungumza unazungumza in 3rd person or in prural... Ukipenda kujiongelea kwa mf useme 'nimejenga ghorofa' haileti picha nzuri kwa audience...
 
Umesahau nondo na mbao pia...
 
ina maana hii nyumba ina thaman kubwa kuliko lile ghorofa alilonunua diamond south Africa? madalali tuoneeni huruma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…