Tanzania ni nchi yenye vichekesho sn .
Hiyo nyumba thamani yake milion 400 ...hapo hapo ukimuuliza hebu ni ambia au nipe maelezo ya kunifanya ni kubali hiyo thamani yake.... cjui kama atukupa maelezo sahihi.
Nakutakia biashara njema.
Umesahau nondo,mchanga,kijiti na mbao.ghorofa sio kazi ndogo jamaniWatanzania ni watu tuliojaliwa roho ya tamaa sana, sijui kwa nini haturidhiki...
Hiyo nyumba hata matofali elfu ishirini hayafiki, na kwa bei ya tofali moja sh elfu moja Total ni Tsh milioni ishirini, kiwanja ukute ulinunua milion thelasini maximum, fundi labda alikula max milioni 15, cement maximum hapo imetumika mifuko tufanye maximum 2,000 kwa bei ya sh elfu 12,000 kwa mfuko inakuja milioni 24, mabati tufanye imegharimu milioni 30 kuweka paa, ok tuchukue na wewe umeongeza faida yako kidogo hadi hapo jumla ni Tsh 149,000,000 sasa hiyo bei ya milioni mia nne unaitoa wapiii?
Sijui kama unajua tathimini ya ujenziWatanzania ni watu tuliojaliwa roho ya tamaa sana, sijui kwa nini haturidhiki...
Hiyo nyumba hata matofali elfu ishirini hayafiki, na kwa bei ya tofali moja sh elfu moja Total ni Tsh milioni ishirini, kiwanja ukute ulinunua milion thelasini maximum, fundi labda alikula max milioni 15, cement maximum hapo imetumika mifuko tufanye maximum 2,000 kwa bei ya sh elfu 12,000 kwa mfuko inakuja milioni 24, mabati tufanye imegharimu milioni 30 kuweka paa, ok tuchukue na wewe umeongeza faida yako kidogo hadi hapo jumla ni Tsh 149,000,000 sasa hiyo bei ya milioni mia nne unaitoa wapiii?
Ok, ongeza na nondo pamoja na mchanga hapo, haizidi milioni 20...
Wewe unayejua tathmini ya ujenzi weka ya kwako hapa tuichambue...Sijui kama unajua tathimini ya ujenzi
Hivi kweli unaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa kuna fundi anayeweza kukujengea nyumba mpaka stage hiyo kwa sh mil 15?Watanzania ni watu tuliojaliwa roho ya tamaa sana, sijui kwa nini haturidhiki...
Hiyo nyumba hata matofali elfu ishirini hayafiki, na kwa bei ya tofali moja sh elfu moja Total ni Tsh milioni ishirini, kiwanja ukute ulinunua milion thelasini maximum, fundi labda alikula max milioni 15, cement maximum hapo imetumika mifuko tufanye maximum 2,000 kwa bei ya sh elfu 12,000 kwa mfuko inakuja milioni 24, mabati tufanye imegharimu milioni 30 kuweka paa, ok tuchukue na wewe umeongeza faida yako kidogo hadi hapo jumla ni Tsh 149,000,000 sasa hiyo bei ya milioni mia nne unaitoa wapiii?
Ok, ongeza na nondo pamoja na mchanga hapo, haizidi milioni 20...
Tumejenga nyumba ya ghorofa juzi juzi na ni kubwa kuliko hiyo... Mpaka sasa imekula kama milioni mia moja na ishirini...Hivi kweli unaamini kwa dhati ya moyo wako kuwa kuna fundi anayeweza kukujengea nyumba mpaka stage hiyo kwa sh mil 15?
Take note of these things:
Nyumba imepigwa plaster.
Nyumba imepakwa rangi
Nyumba imefanyiwa plumbing
Nyumba imewekwa grill chini
Nyumba imefanyiwa wiring (see the hanging wires)
Nyumba imewekewa tiles (see the veranda)
Nyumba ni ya ghorofa
Tathmini yako haina uhalisia hata robo. Actually namhurumia anayeuza nyumba yake katika hatua hiyo kwa sh mil. 400. Hakuna faida ya maana atakayopata.
Good. Hongera.Tumejenga nyumba ya ghorofa juzi juzi na ni kubwa kuliko hiyo... Mpaka sasa imekula kama milioni mia moja na ishirini...
Siwezi kukupa breakdown ila nimekupa totoal na nimekwambia nyumba ni kubwa kuliko hiyo hiyo inaingia mara moja na nusu... Kama unataka nitafute weekend nikupeleke site...Good. Hongera.
Hiyo ghorofa mlilipa sh ngapi kwa ufundi wa kazi hizi?
1. Msingi
2. Slab
3. Kunyanyua chini na juu
4. Kuezeka
5. Blandering and ceiling
6. Wiring
7. Plumbing
8. Plustering
9. Painting.
10. Fitting the grills
Jitahidi utuwekee breakdown separately ili tujifunze njia mpya ya kupunguza gharama za ujenzi.
To me it's a miracle mtu kujenga nyumba mpaka level hiyo kwa mil 100.