Hakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.Kama kuna siku mbaya katika historia ya dini ya kikristo ni siku ya Ijumaa kuu, Petro hakuamini kama Yesu anaweza kukamatwa na akateswa, tena akauawa bila muujiza wowote wa kujiokoa kutokea. Lakini hayo yote yaliendelea mbele ya macho yake.
Siku ya leo kwa January itakuwa masaa 12 kama miaka 12, kutumbuliwa kwa Sefue kumemfanya apoteze confidence kabisa, hakuamini kama imetokea, Jana kama amelala sina uhakika lakini taarifa za kiintelijensia zimenasa ushahidi kuwa alikuwa akihaha kujipanga namna ya kujinasua kwa kufanya vikao mbalimbali na confidant wake usiku kucha.
Kanusho la muitaliano limeonekana kuchafua hali ya hewa zaidi, hasa ukizingatia jamaa alishajichanganya na kukubali kuchangiwa mipesa na huyo bwana. Sasa leo ndo Ijumaa kuu yake, usiulize kwanini, nachokuahidi kaa mkao wa kushtuka kwa taarifa ya kurugenzi ya habari magogoni.
Jumatatu hii ni ogofya kwa kijana wenu huyu, muitaliano katika hali ya kushangaza jana kaanza kulipa madeni yake pale hotelini, Pesa katoa wapi, mimi sijui.
Karibu mtaani dogo, ndo siasa ilivyoUkisikia ngoma inogile ndio hiii....
Kufikia saa 7 mchana leo, mtu mzima atakua keshalizwa
Shida ya Makamba ni kwamba ameshachafuliwa sana. Hili halina ubishi atumbuliwe na asitumbuliwe things shall not be the same.Hakuna hoja hapo mkuu yule muitaliano kaongea vizuri sijaona shida ya makamba ilipo ila aliingizwa tu kwasababu ya dada yake.
Mange OyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeWasingejibu yeye na dadake statement ya Mutaliano ingewaponya...
Tatizo kwenye utetezi wao wamekiri kiaina...
Waombe Mungu tu Magu asiwe anasoma mitandao...
Maana magazeti yamekauka
wivi¿??¿Nilichogundua mtoa mada una roho mbaya au unamwonea wivu makamba au kwa alikil yko fupi unadhan kufukuza tu ndo utendaji bora
muhongo mmemchafua lakini wapi...serikali haiendeshwi kwa upuuzi wa mitandaoniShida ya Makamba ni kwamba ameshachafuliwa sana. Hili halina ubishi atumbuliwe na asitumbuliwe things shall not be the same.
Ngoma Inogile, [emoji1] [emoji2] [emoji3] ninadhani JM kakosea kumlipa Muitliano, alichofanya sasa ni kumnyamazisha asimwage ushahidi zaidi, jamaa angejiuliza kwanza ushahidi mwingine atakaoleta muitaliano utaibua kashfa mpya au ile ile, bila shaka jibu lingekuwa Kashfa ile ile. Kwa vile hii kashfa tayari ni well known hakukuwa na sababu ya kujaribu kuizima kwa kumlipa Muitaliano pesa zake. Ninaona ni kosa kumlipa yule Jamaa kwa sababu hii Kashfa imeshafika Mbali JM hana namna atachomoa sasa kama unapoteza kazi kwanini ulipe tena mapesa? Si bora angekomaa tu, liwalo na Liwe, apoteze kazi abaki na hayo Madola.wivi¿??¿
Hii story umeshakosa maana,naona unahaha ili iendelee kuwa relevant.Kama kuna siku mbaya katika historia ya dini ya kikristo ni siku ya Ijumaa kuu, Petro hakuamini kama Yesu anaweza kukamatwa na akateswa, tena akauawa bila muujiza wowote wa kujiokoa kutokea. Lakini hayo yote yaliendelea mbele ya macho yake.
Siku ya leo kwa January itakuwa masaa 12 kama miaka 12, kutumbuliwa kwa Sefue kumemfanya apoteze confidence kabisa, hakuamini kama imetokea, Jana kama amelala sina uhakika lakini taarifa za kiintelijensia zimenasa ushahidi kuwa alikuwa akihaha kujipanga namna ya kujinasua kwa kufanya vikao mbalimbali na confidant wake usiku kucha.
Kanusho la muitaliano limeonekana kuchafua hali ya hewa zaidi, hasa ukizingatia jamaa alishajichanganya na kukubali kuchangiwa mipesa na huyo bwana. Sasa leo ndo Ijumaa kuu yake, usiulize kwanini, nachokuahidi kaa mkao wa kushtuka kwa taarifa ya kurugenzi ya habari magogoni.
Jumatatu hii ni ogofya kwa kijana wenu huyu, muitaliano katika hali ya kushangaza jana kaanza kulipa madeni yake pale hotelini, Pesa katoa wapi, mimi sijui.
Hata kukurupuka hakuko hivyo, ulize mtu siku ya pili ya saga chanzo instagram? Kituko wewe!Ukisikia ngoma inogile ndio hiii....
Kufikia saa 7 mchana leo, mtu mzima atakua keshalizwa