NInayo kalenda ya Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA) ya mwaka huu, inaonesha JUmatatu ni sikukuu (Union Celebration). Kalenda nyingine hakuna kitu kama hicho. Ngoja, JK anazungumza sasa, anaweza kutangaza mapumziko. Dalili zote zinaonesha hivyo, hasa ukizingatia Watanzania tunavyopenda kulala!