Jumatano twendeni na mabango ya no reform no Election

Jumatano twendeni na mabango ya no reform no Election

Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi

Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election

Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu

Kwamba bila reform hakuna uchaguzi

No reform no Election!!
Hizo timu hazina maana kwa sasa zinatumika kisiasa kupumbaza watu
 
Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi

Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election

Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu

Kwamba bila reform hakuna uchaguzi

No reform no Election!!
Tanga mlienda na T+shirts za hamchezi mlifukuzwa je huko kwenye ndanda Kosovo
 
Jumatano nasikia atakuwa mgeni rasmi

Twendeni na mabango, matisheti ya no reform no Election

Tusambaze ujumbe mpaka dunia Ione madai yetu

Kwamba bila reform hakuna uchaguzi

No reform no Election!!
Hawataruhusiwa kuingia nayo, badala yake yafichwe
 
Back
Top Bottom