Juma Nkamia yuko wapi katika siasa za nchi hii?

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Nakumbuka aliwahi kusema hasemi na Mbwa bali mwenye mbwa, kashifa, kejeli na ubabe mkubwa! Hivi awamu hii yuko wapi?
Kuna maisha baada ya Bunge na cheo cha uwaziri etc
 
Nakumbuka aliwahi kusema hasemi na Mbwa bali mwenye mbwa, kashifa, kejeli na ubabe mkubwa! Hivi awamu hii yuko wapi?
Kuna maisha baada ya Bunge na cheo cha uwaziri etc
Nenda pale Rose Garden Dodoma kila weekend utamkuta anakula kichwa cha samaki soup, akivuta sigara na pembeni akiwa na watoto warembo wawili wa UDOM
 
Back
Top Bottom