Juma Nkamia anusurika kipigo jimboni kwake kwa kauli chafu

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Naibu waziri wa habari, vijana, utamaduni na michezo Juma Ngamia alinusurika kupigwa na wananchi jimboni kwake akiwanadi wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa uliofanyika juzi.

Source : Magic fm , habari kwa ufupi magazetini leo.
My take : Ni muda muafaka sasa kwa mbunge huyu kujirekebisha kauli zake maana imefikia pabaya hadi wapiga kura wake wanataka kumchapa! Hatari!
 
Yule jamaa anamdomo mchafu kuliko wanaofanya kazi dampo, sijui hata alipataje huo unaibu waziri, hiyo ndo ccm, gabage in gabage out!
 
Yupo kwenye foolish age labda mwakani ataingia kwenye umri wa watu wazima.
 
Naibu waziri wa vijana, utamaduni na michezo Juma Ngamia alinusurika kupigwa na wananchi jimboni kwake akiwanadi wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa uliofanyika juzi.

Source : Magic fm , habari kwa ufupi magazetini leo.
My take : Ni muda muafaka sasa kwa mbunge huyu kujirekebisha kauli zake maana imefikia pabaya hadi wapiga kura wake wanataka kumchapa! Hatari!

Huyu jamaa, mdogo wake kupitia CCM amegaragazwa vibaya mno kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Mbagala ambapo CUF walinyakua kiti hicho.
 
Huyu jamaa, mdogo wake kupitia CCM amegaragazwa vibaya mno kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Mbagala ambapo CUF walinyakua kiti hicho.

Wameona atakuwa na urithi wa tabia kwa kakaake ya mdomo mchafu.
 
Yule jamaa anamdomo mchafu kuliko wanaofanya kazi dampo, sijui hata alipataje huo unaibu waziri, hiyo ndo ccm, gabage in gabage out!
jk alimpa nafasi hiyo kisa wanajuana......jk vyeo vngi katoa kwa kujuana juana
 
Nachukizwa na hizi kauli kuwa "amenusurika kipigo" " kidogo achapwe" " aokolewa akitaka kuazibiwa" nk nk. Hawa wanasiasa wenye kauli za madharau msiwatishie kuwachapa bali mkimchapa mmoja na kumvunja bega au mguu basi wengine watajifunza kuwaheshimu. Tisha tisha mnayofanya haisaidii.
 
huyu jamaa ana gundu kali sana ! Kuna siku atalambwa makofi tu , naona ananyemelewa na viganja vya mikono ya watu .
 
Back
Top Bottom