Juma Nature: Kuna watu wanahonga ili nyimbo zangu zisipigwe

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Ukizungungumzia historia ya muziki wa Bongo Flava, haiwezi kukamilika bila kulitaja jina la mkongwe Juma Kassim Nature aliyewahi kutamba ngoma kama ‘Jinsi Kijana’, ‘Hili Game’ na zingine kibao.

x14052642_182029565567129_8169839820688850944_n.jpg.pagespeed.ic.TTvdO8tdon.webp

Hatimaye mkongwe huyo amaibuka na kudai kuwa kuna watu wanahonga ili nyimbo zake na za TMK Halisi zisichezwe redioni.

Nature amesema kuwa miongoni mwa watu hao ni uongozi wake wa zamani lakini hakuwa tayari kuwataja kwa majina.

“Sasa hivi kuna urasimu, kuna watu wanaenda kuhonga nyimbo zangu zisipigwe za Halisi zisipigwe, wapo watu wanafanya issue kama hizo na tayari tumeshaingia in deep kujua nini tatizo kwanini nyimbo hazichezwi,” ameniambia Nature nilipozungungumza naye nyumbani kwake Temeke.

Ikumbukwe Nature alikuwa akifanya kazi chini ya kundi la Wanaume Family kundi linalomilikiwa na Said Fella kabla ya kujitoa kwenye kundi na baadhi ya wasanii wengine waliokuwa kwenye kundi hilo na kuanzisha kundi lao jipya linalofahamika kama Wanaume Halisi.

source : BONGO5.COM
 
Said Fela anahusika 100%,ukikosa shule maisha haya majungu/fitna ndiyo mtaji....pumbavu.
 
AWEKE MTANDAONI. hAKUNA rUSHWA HUKO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom