🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daah nikisoma comment humu inavyoonekana ni Mimi Tu ndo sina gari
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daah nikisoma comment humu inavyoonekana ni Mimi Tu ndo sina gari
Sio wewe tu,hata mimi pia😂😂😂Daah nikisoma comment humu inavyoonekana ni Mimi Tu ndo sina gari
Ni brand tosha ile. Ukijaribu kushindana naye ndio kwanza unampa promoNi ngumu sana kum downgrade Mondi.. Huyu tayari yuko next to next level...!!!!
Unataka kuniambia ile RE yake ipo juu kuliko Chopper ya Juma?...jamaa hapo kafunikwakaka tukubaliNi ngumu sana kum downgrade Mondi.. Huyu tayari yuko next to next level...!!!!
Ana PhD?Yuko mbali mno, kifedha, ki investments, fan base, international recognition na strong management.
PhD bila kuwa na fedha ni ujinga tu kama ujinga mwingine.Ana PhD?