Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Umslopagazi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2013
Posts
1,737
Reaction score
935
Nauliza tu maana sijamsikia kitambo sasa na kampeni zinayoyoma.

Jibu kwa hekima.



========================

Updates; 01 Oct 2015


 
Last edited by a moderator:
Jana nilimuona kwenye fundraising ya CHADEMA
 
Jana alikuwepo Mbagala Zhakem mkuu,alianza kuzungumza Mbatia,Duni,Sumaye,Mbowe Lowasa akamalizia mkuu.
 
Naona kama ana wasiwasi na maamuzi yake anaonekana kimagumashi!
 
nafkiri leo alikuwa kigamboni mkuu
 
Amejiondoa maana amejipima ameona hafai, ubalozi wa nyumba 10 eti ndo unamfaa
 
Zomeazomea inayoendelea kuwakumba viongozi wandamizi wa UKAWA, mgombea mwenza wake Juma Duni ameonekana kukata tamaa ghafla kutokana na kile anachofanyiwa yeye na wafuasi wa CHADEMA wanaojiita wazalendo wa CHADEMA.
 
Hana jipya huyo. Aende kwa waganga wao wa kienyeji wakawasaidie kama ilivyo kawaida ya CCM
 
Babu Duni atajuta kukurupukia pesa za Lowassa...na CUF wamesema hawatamkubali
 
Ccm mwaka ndo wamekuwa kama wapinzabi angalia hata mada wanazoanzisha ni za kiupinzani zaidi
 
muheshima Juma popote ulipo njo uendelea na kampeni tumeshawaambia wananchi waache zomea zome zao njo uendee bana na kampeni maana siku zenyewe zinakwisha, mbona mama azomewi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…