Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA


Kumbe hawa wapo kimaslahi sio kwa ajili ya mabadiliko.Heko Magufuli.
 
Ninachojua mimi Duni alienda Chadema sababu katiba haikuruhusu wagombea kutoka vyama tofauti kusimama pamoja kama mgombea uraisi na makamu wake.Hivyo alikwenda kutimiza sharti la ushirikiano ndani ya Ukawa na sio MATAPISHI YAKO YAKO YA KIPUUZI ULIYOYAANDIKA HUMU.
 
Kuna watu bila kusema chadema hawapati usingizi, Babu alihama CUF au aliingia kutumikia UKAWA
 
Juma duni amekosa kila kitu aliingizwa chaka halafu kaingia kwa kutanguliza kichwa badala kutanguliza mti kwanza kupima kina cha chaka husika ona sasa alivyopata aibu sasa mtu mzima kazalilika pole yake lakini arudi akae kibarazani afunge msuri tu.
 
Siasa za kitoto, za kila saa unachungulia na kuzusha eti kwa sababu ni chama pinzani ukichelea kufurahi na kuombea wagombane. Lizaboni mwanasiasa wa kiafrika aliyekuzwa na kuaminishwa kuwa upinzani ni uadui. Kumbe kisiasa upinzani ni kioo cha kujitazamia mtawala, unapokuwa na upinzani imara unajenga serikali imara kuna nchi zingine wizara nyeti hupewa upinzani. Kwani hukujua kwa nini Babu aliingia CHADEMA na ilikiwa kusudi gani leo ulete kama habari.
 
Umeona alichokipata sasa karudi na midevu yake tu hakuna alichopata hata kimoja, zaidi ya aibu.
 
Acheni Kuwaza kwa kutumia Akili Zenu za Kuendea Chooni.. Alichokileta Lizaboni kina mhusu mtu ambaye anajina katika siasa za Tanzania na Ameileta hapa Jukwaani kama Sehemu sahihi ili kujuzana habari. Ni Upuuzi kuona Baadhi Yenu mnatokwa mapovu kwa kitu ambacho kikowazi kabisa. Babu Duni alikuwa ni Mgombea mwenza Wa Chadema na anapozungumziwa ni lazima Uitaje Chadema... Makubaliano Yalikuwepo na Kuna kipindi ni kweli alisusa kushiriki kampeni Mpaka alipofuatwa Kule Zanzibar. Wakati mwingine tusibishane kwa kutafuta sifa, kinachotakiwa ni kuutafuta ukweli ili kuuleta hapa Kumjibu Lizaboni Iwapo Atakuwa Ameongea Uongo. Kubishana bila Majibu sahihi ni Kuonyesha Uelewa wenu mdogo katika Kujadili suala nyeti kama Hili.... Vijana Wengi wa Bavicha hawataki kuambiwa ukweli kwa kuwa wamezoea kuendeshwa kama Bendera.... Huwa ni Wakati wa Kujadili kwa Maslahi Ya Chama chenu bila kukitetea chama kwa Kushindwa kujibu hoja hata chama chenyewe kitaonekana Hakina Maana tena....
 
Juma duni amekosa kila kitu aliingizwa chaka halafu kaingia kwa kutanguliza kichwa badala kutanguliza mti kwanza kupima kina cha chaka husika ona sasa alivyopata aibu sasa mtu mzima kazalilika pole yake lakini arudi akae kibarazani afunge msuri tu.

Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.

Mtabaki hivyo hivyo kwani hamuelewi na pia kwa sababu hamtaki kuelimishwa.

Wazungu wanasema "KALAGHA BHAO NA UBOZI WAKO"
 
Juma duni amekosa kila kitu aliingizwa chaka halafu kaingia kwa kutanguliza kichwa badala kutanguliza mti kwanza kupima kina cha chaka husika ona sasa alivyopata aibu sasa mtu mzima kazalilika pole yake lakini arudi akae kibarazani afunge msuri tu.

Kama anavyofanya JK au?Kuweni na heshima kwa viongozi wa upinzani.
 
Aende Chadema sawa, abaki cuf sawa,, aache siasa sawa
 
umbea.com. Babu Duni aliingia CDM ili wana ukawa wote waweze kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi. Hii ilikubalika na vyama vyote vya ukawa. Isingekuwa vizuri nafasi za juu zote zingechukuliwa na CDM. CDM walitakaka kushirikiana na wenzao ktkt kuongoza nchi.


 
Katika watu wanaoleta pumba humu jf na huyu anaongoza ........
 
Real kivipi wakati ID zenyewe fake?
Wewe unaitwa DuppyConqueror?
Hata mama yako akiambiwa kuna mtu anaitwa hilo jina atashangaa!
kutumia majina fake haimaanishi kuwa maisha pia ni fake...this is real life! Watu wanatoa mawazo yao/opinions, watu wanafurahi, wanacheka, wanahuzunika, wanagombana, wanatengeneza urafiki, wanatengeneza uadui..alafu unasema sio real life eti kwasababu tu wanatumia majina feki?
 
Arudi cuf tu .2020 arudi chadema mamvi kasema atagombea.
 
Huwa nasoma komenti ya kwanza na ya mwisho nimeshakuelewa
 
Duni kaingizwa kingi bila kujua kuwazuga waislam juu ya ukanda na udini wa wachadema, waliislam wakamstukia wakamtosa yeye na lowassa wake.
 

Alikoga maji temporary sasa anarudi nyumbani kwa baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…