Julius Sazia hatunaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Julius Sazia hatunaye

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mgoyangi, Sep 17, 2009.

 1. Mgoyangi

  Mgoyangi Senior Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwandishi wa habari Julius Sazia amefariki Dunia mjini Shinyanga Usiku wa kuamkia leo.

  Alisoma SAUT na kabla ya hapo alikuwa Mwalimu wa shule moja ya sekondari huko Bariadi na baadaye kuwa Mkuu wa shule ingawa bado alikuwa akiandikia magazeti mbali mbali.

  Mungu ailaze Roho Yake mahala Pema Peponi

  Amina
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  RIP ndugu Julius Sazia.
   
 3. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Tunaomba picha yake tafadhali!
   
Loading...