PreGE2025 Julius Mwita: G-55 inataka CHADEMA iende kwenye uchaguzi

PreGE2025 Julius Mwita: G-55 inataka CHADEMA iende kwenye uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya CHADEMA, Julius Mwita, amewapongeza Tundu Lissu na John Heche kwa ujasiri wao, akisema ni viongozi wanaoweza kuleta hamasa kubwa wakati wa uchaguzi. Akizungumza kupitia Clouds FM, Mwita amesema;

"G- 55 haiwavurugi watu ila watu ndio wanajivuruga, sisi tunachokizungumza ni kile ambacho alikisema Katibu Mkuu, JJ Mnyika kwenye kikao cha Mkutano mkuu kwamba pamoja na azimio la kudai mabadiliko tujiandae na uchaguzi. Na G- 55 inachotaka ni chama kiende kwenye uchaguzi"
 
Back
Top Bottom