Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
"Mwenyekiti wa sasa alisema ataishughulikia sekretarieti, na bahati nzuri watu waliamua kujishughulikia wenyewe na asilimia 90 ya wajumbe wa sekretarieti ya CHADEMA waliondoka wenyewe hawakufukuzwa, kwa mazingira yale unaishi katika kipindi hupendwi wala huthaminiki," - Julius Mwita aliyeondoka CHADEMA
Pia soma CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi
Pia soma CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi