Julius Mtatiro anena haya

Mbona sijaona ukishambuliwa na chadema bro?Chadema wengi wako kimya na ninaowasoma humu ni wale tu wenye mawazo huru na sikumbuki ni lini ulishambuliwa na Chadema.Sema tu huwezi pata kiki bila Chadema kutajwa.Tulisha kusahau mkuu,but kama mzee baba huwa anapita huku,anaweza kukukumbuka..
 
Pointi ya change of position iko nje kabisa na uhalisia kwenye mfano wa cuf na mh karume.huwezi kulinganisha mapatano yale yenye mustawa wa nchi na taifa,utulivu na maslahi mapana ya wazanzibari na ubinafsi wa wa mtatiro. Hali ile ilizaa gnu iliyopo kikatiba na kupelekea kubadilisha mfumo wa utawala kikatiba. Mtatiro na maslahi yake binafsi hawezi kulinganisha na maslahi mapana ya maelewano ya cuf na mh karume. Mtatiro endelea kufaidi huko uliko
 
CCM wana dhambi sana, huyu jamaa kawa kichwa nazi kabisa!
 
Kwa mifano hiyo unajiona umeoga kwa kutumia sabuni ya Dettol wewe bado ni mchafu na utabaki hivyo, hakuna aliyekuuliza ila unajishuku mwenyewe.
 

Terms and Conditions, ukihama sharti la kwanza ukiponde chama ulichotoka ili kionekane ni kibovu.

Hiyo iko kwenye contract.
 
Mifano yote hiyo haiwezi tumika.CUF na CHADEMA walibadili positions kwa maslahi ya vyama na taifa.Hata vitani kuna mbinu ya Retreat in order to advance au ile ya Chairman Mao One step backward Ten steps forward.
Mtatiro alichofanya ni kwa manufaa yake binafsi bila nia yoyote ya kufanikisha maslahi ya jamii kwa ujumla.Anataka cheo kama yeye
 
Bado nakumbuka last post ya huyu mwamba juu ya Mama yake kukosa maji pale kijijini kwao Kiabakari, Musoma akiituhumu serikali ya CCM kushindwa kuwapelekea maji wananchi wa kijiji kile anachoishi mama yake mzazi. Toka siku alipojiunga na CCM nimejiuliza swali hili "je, maji yalishapatikana na mama yake pamoja na wanakijiji wenzake w/akasaidiwa kuondokana na kero ya kukosa maji kijijini pale?" hadi akafikia hatua ya kusahau yote aliyoyasema juu ya CCM na serikali yake?

Andiko lake akimjibu na kumzodoa Prof. na Mwl. wake Kitila Mkumbo kwa barua za mtandaoni. Je, nini kilibadilika?

Eeeeh Mtatiro naendelea kukumbuka mgomo wa 2007 na maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu yaliyoishia Jangwani pale. Namna TAHILISO, ukiwa champion wao, mlivyomaliza lile game imebaki funzo kubwa kwangu na pengine wote waliokuwa wakiwatazama kama wapambanaji wa wanyonge.

Maisha ni concept yenye tafsiri pana sana, naam! Pumzika uliko MWAMBA. Change in Game Position, YES! No matter how, when, where and why! Just for your own sake.
 
Mtatiro sema ukweli we si ulidai account zako zilifungiwa that’s why ulihama na pia ukadai mtoto wako alitaka kutekwa ukamkimbiza Nairobi Na kwa kua account zako zimefungwa unashindwa kumlipia ada ndio ukaona uende CCM au umesahau ulichokisema wakati unaenda kwenye usaili ili uende short course marekani ?
 
Ndugu yangu mtatiro, kwa uongozi wa chief nanga ili akuteue lazima umtukane sana mbowe na chadema yake. sasa wewe sijui utamtukana mbowe kwa lipi wakati wewe umetokea cuf
 
Aongeze bidii tu mwenzake kapata teuzi baada ya kutakana upinzani, asikae kimya ajitahidi kusifu na kuabudu jimbo lolote Mara li lake
 
Mwambie Mtatiro kwamba demu uliemuacha usisumbuke kumuongelea tena mbele ya demu wako mpya
Mbona mwenzake kafanya hivo na kalamba teuzi ndo mambo yamfurahishayo mfalme
 
Mtatiro acha haya mambo yatakugharimu hapo baadae. Pumzuka siasa mpaka 2020. Siasa za watanzania ni za hisia sio kufikiria hivyo pima upepo fuata walio weng iusifuate mwenye nguvu
 

PUMBA.....V.UUUUUUUU (in ray kigosi voice)
 
Ifike mahali mwenyekiti waCCM ampe Mtatiro cheo chake walichomuahidi,
Mtatiro anapata frustration akicheki kina Masha wanapewa mashavu alafu yeye anaachwa tu kwenye Instagram.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…