Julius Mtatiro Amewadanganya Waandishi Wa Habari Kuhusu Kupigwa Wanachama CUF!!!

Nashindwa kukuelewa unasema amepanga kufanya mkutano mda ambao wakristo wengi watakuwa makanisani halafu unasema lengo ni kuzuia kundi la H.R ina maana wakristo wengi wanamuunga mkono H.R?
 
Ha ha ha ha ha ha! CUF kweli kiboko! Naona wameamua kutumia yale majambia yao live. Hivi hawa wafuasi wa CUF hawamwogopi hata Mungu? Sidhani kama huyo Mungu wanaye!
 
Hizi habari za CUF, NCCR, TLP, UDP hata tuache kuzijadili kwa sababu ktk siasa za Tanzania hivi vyama havipo tena. Siyo vyama vya upinzani. Kiufupi ni kwamba vimefulia kisiasa na vimekufa na havitafufuka kamwe!
 
Du CUF hiyooo richojojo maskini wewe hakuna cha ngangari wala ngunguri mseto ndiyo umepelekea yote haya.
 
inaonesha namna gani wachangiaji wamechoka kweli kimawazo hawana wanaloongea lamaana. Badilikeni Cuf chama kubwa mmeoneshwa mpaka barua matawi yana vyofanya harakati mmeambiwa matawi ya cossovo je hamuoni ukweli hamad na seif wame make headline bado hamuoni kama chama kubwa leo mna muongelea mtatiro. toeni hoja za msingi sio kutoa matusi amakweli kama jf vijana mko hivi hamna hoja zamaana mmefulia mnai haribu jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…