Julius Malema: Kenya ni koloni la Marekani

Julius Malema: Kenya ni koloni la Marekani

Malema anafaa kuendelea kuwa mwanaharakati ila akishika dola watu watatamani afe, atageuka dikteta mmoja wa kutisha na atafanya mambo ya ajabu sana S.A ataiepeleka shimoni.
Ni mzuri akibaki kuwa mwanaharakati tu na siyo kiongozi mwenyhe mamlaka makubwa
i Viongozi wengi Madikteta wanamioyo ya kizalendo
 
Malema amekasirika toka Trump alipotweet kuwa Afrika kusini wanauawa wazungu na kunyang'anywa mashamba bila kulipwa Trump kamuelekeza Pompey aliangalie hilo swala la Afrika kusini vizuri na atoe taharifa hii imetokea wiki iliyopita mpaka serikali ya Lamaphosa imekutaka na uongozi wa USA hapo Pretoria ili kuweka mambo sawa wanachotegemea SA ni Nchi za Afrika ziungane kuipinga USA sasa hivi Nchi nyingi zinaangalia mambo yao ya ndani wao watatue tatizo lao la Ardhi bila kuingilia Nchi zingine...Malema fanya siasa ya ndani mtatue matatizo makubwa ya rushwa,crime na swala la ardhi...Uhuru asiende USA kisa mna ugomvi na USA akili za wapi hizo...
Isanga family ilifanya vituko sana mkwawa 2000 hadi 2002 walikuwa wanaiba nyama jikoni kila jtano na kutokomea makanyagio wengi wa hili kundi walitokea dodoma na walikuwa pcm. .pcb..pgm na cbg Pamoja na wizi wa nyama karibia wote walifaulu
 
Back
Top Bottom