What's happening in SA is no different from what's happening in USA. Kuna kitabu cha 'No Easy Victories: African Liberation and American Activists over a Half-Century, 1950-2000' kinaelezea stricking similarities kati ya sehemu hizi mbili. Rush Limbaugh na wafuasi wake wanaombea Obama 'ashindwe', huku wakicritisize every single policy initiative hata zile zinazofanana na za Bush (wote wawili) na Reagan....the three Republican Presidents, wakati huko SA hao wafuasi wa huyu jamaa wanaziambia timu zinazoenda kwenye WC zisiende. Hizi symbols zao (old south african anthem, apartheid era flag, swastika etc.) zingekuwa illegal kama kweli SA govt wako serious na kumaintain the union.
Hate to say it, but SA will eventually go Z'bwe route if not worse, been saying this for years....that place is a time bomb.
Samahani kwa kwenda off-topic, sikujisikia kuanzisha thread nyingine. Najaribu kuzoea the new layout.