CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Ni mchezaji wa zamani wa Simba na Prisner na kocha wa zamani wa Simba.
Asema huwa anachukia sana anapokuta watu vijiweni wakimponda JK.Sasa ameamua kutangaza nia ya kukombea ukatibu wenezi mkoa wa Dar ili apambane na maadui wote wa ccm na taifa kwa ujumla.
Chanzo:Radio uhuru-michezo leo.

Jamaa kaanza kuchanganyikiwa..anatafuta ukuu wa wilaya nini?
lakin sababu ye Simba Jk atamchinjia baharini angekuwa yebo minziro hapo ingekuw swadakta
Julio sasa aache kuendeshwa na Tumbo..wakuu tuanzishen team hapa Jf tumpe huyu mpiga kengere labda atatulia..
Slaa na Mbowe wanaendeshwa na nini?
yULE MSEMA HOVYO MWENZAKE jUMA sIMBA 'gADAFI' YUKO WAPI SIKU HIZI
Hana shule ya kutosha kumpa hata utendaji wa kata.Jamaa kaanza kuchanganyikiwa..anatafuta ukuu wa wilaya nini?
Ni mchezaji wa zamani wa Simba na Prisner na kocha wa zamani wa Simba. Asema huwa anachukia sana anapokuta watu vijiweni wakimponda JK.Sasa ameamua kutangaza nia ya kukombea ukatibu wenezi mkoa wa Dar ili apambane na maadui wote wa ccm na taifa kwa ujumla.
Chanzo:Radio uhuru-michezo leo.
kuna team inaitwa Prisner??