Julio kwema?

Julio kwema?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
1448020135187.jpg
 
Ameshika nini? Anatizama nini (chini)? Na huyo mwingine 'anasikilizia' nini?
 
Kuna kitu labda walikuwa wanaambizana
 
Apo ni kwenye msiba wa ndugu yake bana acheni izo,hamuoni ata uyo aliyeko nae wanafanana kabisa?
 
Hiyo ilikuwa ni wakati wa msiba ambapo Ben Kisaka (mmoja wa wakurugenzi wa gazeti la Jamboleo) alifiliwa na kaka yake na Julio alikuwa akimpa pole tu.
 
....wapendwa tusiruhusu fikra hasi, zinaharibu sana reputation ya watu. ninaye ndugu ni muhanga wa uzushi wa mitandaoni, kila kona wanamtazama kumbe hata hajawahi. its so sad kwa kweli...
 
....wapendwa tusiruhusu fikra hasi, zinaharibu sana reputation ya watu. ninaye ndugu ni muhanga wa uzushi wa mitandaoni, kila kona wanamtazama kumbe hata hajawahi. its so sad kwa kweli...

Imetafsira ndivyo sivyo ndio maana hata mimi nimeweka heading kama swali
 
Back
Top Bottom