[emoji121]Kuna huyu mtangazaji wa ITV anaitwa Julieth Robert. Naona yuko vizuri sana, na very well informed. Anajua kuongoza mijadala vizuri na kwa kujiamini. Naona, anamkaribia yule bwana aliye staafu Masako. Hichi kipindi za kipima joto anakimudu vizuri sana. Hata maswali anayouliza yana tija. Mimi binafsi, naona amemzidi Jackline Silemu. She has a bright future. Keep it up young lady
Seneta ktk ubora wako! Hope uko powa mzee wa blah blah![emoji121]
KUMBE ND'O ID YAKO HII NDUGU J.ROBERT,
TUMEKUSIKIA.
Kuna huyu mtangazaji wa ITV anaitwa Julieth Robert. Naona yuko vizuri sana, na very well informed. Anajua kuongoza mijadala vizuri na kwa kujiamini. Naona, anamkaribia yule bwana aliye staafu Masako. Hichi kipindi za kipima joto anakimudu vizuri sana. Hata maswali anayouliza yana tija. Mimi binafsi, naona amemzidi Jackline Silemu. She has a bright future. Keep it up young lady
Sasa hayo mengine yanatoka wapi? Mimi naongelea uwezo wake. Sijui kwanini kila kitu mnawaza negativeBwana wake unamjua lakini Mkuu? Ununio Mahaba Beach inakungoja.
Sasa hayo mengine yanatoka wapi? Mimi naongelea uwezo wake. Sijui kwanini kila kitu mnawaza negative
Kuna huyu mtangazaji wa ITV anaitwa Julieth Robert. Naona yuko vizuri sana, na very well informed. Anajua kuongoza mijadala vizuri na kwa kujiamini. Naona, anamkaribia yule bwana aliye staafu Masako. Hichi kipindi za kipima joto anakimudu vizuri sana. Hata maswali anayouliza yana tija. Mimi binafsi, naona amemzidi Jackline Silemu. She has a bright future. Keep it up young lady
Ameolewa naona kama amekaa single hivi ebu tuambieni huenda akiolewa atabadilikaKuna huyu mtangazaji wa ITV anaitwa Julieth Robert. Naona yuko vizuri sana, na very well informed. Anajua kuongoza mijadala vizuri na kwa kujiamini. Naona, anamkaribia yule bwana aliye staafu Masako. Hichi kipindi za kipima joto anakimudu vizuri sana. Hata maswali anayouliza yana tija. Mimi binafsi, naona amemzidi Jackline Silemu. She has a bright future. Keep it up young lady
Anatumia jina gani humu mlete tu dmyupo humu JF.. subiri aje