Si ndio wapuuzi wenyewe hawa tena hao watoto wa mwenyekiti wa chama chake wanatunzwa na kodi zetu, ndio maana kila siku wanakimbizana na wauza korosho kukusanya matumizi ya watoto wa mkuu wao wanasema mapato ya nchi
hongera sana,ungeendelea kubaki chagadema usingeolewa kamwe................
wangekufanya big G utamu ukiisha tupa kule.......... hata viti maalumu usingepewa............
Ndoa hii tuipe mda gani maana naye ashakuwa msanii, ukizingatia ndoa za wasanii hazidumu, huyu msanii wa siasa ataacha tabia yake ya u-yuda, je, wale waliomwondoa CDM wataacha kumendea?
Mahaba niue yamendondokea huyu bwana , tunashukru labda atapunguza stress za kupewa ahadi hewa na magamba na kupunguza kuzunguka usiku kucha na magamba akinadi sera mbovu za ccm, hata hivyo uenda hata akafundishwa kuishi vizuri na waliomtangulia kiumri na kifikra.
!
!
na kweli mdau, muhimu ni kuosha tu vizuri na maji na sabuni halafu unakamulia limao unakula mzigo tight fresh . Umeingiza na una uhakika imo na ukahisi ka kakukwepa unashuka unatia limao.