hongera zake .....Mungu ampe moyo wa uvimilivu kusongesha gurudumu la ndoa ambalo hupata pancha mda wowote ... aweze kuziba pancha na kuendelea na safari ya ndoa ... amen
hongera sana,ungeendelea kubaki chagadema usingeolewa kamwe................
wangekufanya big G utamu ukiisha tupa kule.......... hata viti maalumu usingepewa............