Erick Martie
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 338
- 367
Wafamasia wote bila kujali ni wa kada gani tukutane hapa, kujadili ishu zetu mbali mbali!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhh kuna ishu gan hukoWengi si itakua wako makambini mkuu? Maana mgulani kulikua na nyomi ya hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye fani za afya wakiwemo wafamasia, kuanzia ngazi ya diploma kama sikosei walioko mtaani wenye miaka chini ya 28 waliitwa kusailiwa na jeshi mwezi uliopita. Walijitokeza maelfu
Sure nakumbukaa lile tangazo sikujua kama ni leo, kada mbali mbal za afyaa zitakuwa zimejaa huko noumaaaaWenye fani za afya wakiwemo wafamasia, kuanzia ngazi ya diploma kama sikosei walioko mtaani wenye miaka chini ya 28 waliitwa kusailiwa na jeshi mwezi uliopita. Walijitokeza maelfu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua ni fursa nzuri kwa vijana kuingia moja kwa moja jeshini bila hata kupita jkt. Wenye fani hizi wanahitajika sanaSure nakumbukaa lile tangazo sikujua kama ni leo, kada mbali mbal za afyaa zitakuwa zimejaa huko noumaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwel mambo ya jkt noumaa aseee mweeeIlikua ni fursa nzuri kwa vijana kuingia moja kwa moja jeshini bila hata kupita jkt. Wenye fani hizi wanahitajika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikua ni fursa nzuri kwa vijana kuingia moja kwa moja jeshini bila hata kupita jkt. Wenye fani hizi wanahitajika sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuteni leseni wakuu, weng sana waligomewa kusajirika jeshn 7bu hawana leseni.Walikubaliwa km 5 tuu, nao sijui km watatoboa wote kweny vpmo Vya afya.Htr sana tpdfWengi si itakua wako makambini mkuu? Maana mgulani kulikua na nyomi ya hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilisema wanahitajika kwa maana ya kua kada ya afya kwa ujumla wake ni moja kati ya kada muhimu jeshini, ndo maana karibu kila mwaka huwa wanaitwa. Kwa jeshi kada ya afya haiwezi kua sawa na kada kama ya uchumi labdaUkisema wanahitajika sana unakosea.
Sema walijitokeza wengi sana kutokana na wingi wao ni mkubwa.
Serikali haiwezi kutamka kuwa tuna shida na watu hao sana, kwan wapo wengi mno,
Haiwezi kuwapa kazi wote wa kada hiyo japo wako tayar na jeshi,
So jua tu uhitaji ni mdogo kwa serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, kweli changamoto. Watano, duhTafuteni leseni wakuu, weng sana waligomewa kusajirika jeshn 7bu hawana leseni.Walikubaliwa km 5 tuu, nao sijui km watatoboa wote kweny vpmo Vya afya.Htr sana tpdf
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilisema wanahitajika kwa maana ya kua kada ya afya kwa ujumla wake ni moja kati ya kada muhimu jeshini, ndo maana karibu kila mwaka huwa wanaitwa. Kwa jeshi kada ya afya haiwezi kua sawa na kada kama ya uchumi labda
Sent using Jamii Forums mobile app