Kwa kile kinacho fahamika kama jitihada sa Nnape kuiokoa CCM dhidi ya watumia mtandao imelikumba jukwaa la maoni kny blog ya mwananchi.com kama sehemu ya majaribio ya kuwatumia vijana walio rubuniwa na chama hicho kutoa kashfa na matusi zidi ya CMD km hatua ya mwanzo ya kuzivamia blog zingine nchini. Il ikukiongezea nguvu chama hicho kwa watumia mtandao.