Jukwaa la muziki

Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
1,322
Reaction score
70
Wakuu,
nimengojea, bila mafanikio sioni hili jukwaa likirudi.
Tatizo ni nini jamani?
Utawala JF wengi tunangojea kwa hamu kubwa kuona likirudishwa.
Natanguliza shukrani, kwa niaba ya wapenzi wa jukwaa
 
Hili jambo nimejiuliza sana na mimi, huenda ni matengenezo makubwa linafanyiwa kwa hiyo tujiandae mkao wa kula na ili liwe bora wana JF tungeshirikishwa tunaweza kutoa mchango kwani naamini kuna watu wana hazina ya nyimbo nyingi kwenye PC zao.
 
Wakuu JF, nimeona nikumbushie tena..
kama limefutwa moja kwa moja ingekuwa vema tuambiwe ili tuondoe dukuduku kwamba kuna matumaini litarudishwa tena..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…