Jerry santonga JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 647 Reaction score 566 Oct 1, 2017 #1 Habari wakuu,katika utafiti mzito nilichogundua hili jukwaa ni la madalali watu janja janja ukikaa kizembe utakuta mwana si wako yani mtu anakudalalia ukiwa macho duuuh asalale viongozi hii ni kitu nzito.... Wasalam ni mimi mnyonge Fanani
Habari wakuu,katika utafiti mzito nilichogundua hili jukwaa ni la madalali watu janja janja ukikaa kizembe utakuta mwana si wako yani mtu anakudalalia ukiwa macho duuuh asalale viongozi hii ni kitu nzito.... Wasalam ni mimi mnyonge Fanani
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,326 Reaction score 7,529 Oct 2, 2017 #2 Wewe nunua kwa wenye mali sio lazima kwa madalali.