hilo unalipia mkuuHabari ya muda huu..,
Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimejaribu kuingia jukwaa la Great thinkers asee ila cha ajabu nimekatazwa kureply thread flani hivi nilioikuta huko na kuja kucheki nakuta thread zote ziruhusiwi kureply.
Nikasema isiwe shida wacha niende kwenye option ya kutandika jamvi nitunge story yoyote ya uongo ilimradi niwe nimepost thread kwenye jukwaa hilo.
Kilichonishangaza wakati nafanya mchakato wa kuenda kuanza kuandika, sikuona sehemu yoyote inayonipa option ya kuandaa thread mpya kama haya majukwaa mengine.
Sasa swali langu ni je, inakuwaje hilo jukwaa halina option ya kureply thread na hakuna sehemu ya kuanzisha thread mpya, na je, nyinyi mnaoandika thread kwenye hilo jukwaa mnatumia simu za aina gani..? Mbona mimi yangu haitaki niandike jamvi kwenye jukwaa la GREAT THINKERS..??
em Waite mods au wafate PM watakuelewesha zaidi kuhusu hiyo inshuAsee.., moja ya vitu ambavyo sijawahi kuvijua miaka yote hii. Na nasikia pia kuna wanaopokea posho kutoka jf
Mkuu inaniumaa, haiwezekani kukawa na ubaguzi wa namna hiyo. Bora jukwaa lingekuwa halionekani ila tatizo jukwaa unaliona na kuingia unaingia afu unaishia kusoma tu za wenzio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kule waachie akina nguruvi3, shayu, sky eclat, kitila mkumbo, mwalimu, rev kishoka na wengineo. Wewe komaa hapa hapa chit chat, utatoka tu mkuu.[emoji3][emoji3]
Tuma maombi jamiiforums, then wanapitia coments zako na thread zako ili wajiridhishe kama kweli unaweza kuwa na u great thinker ili uruhusiwe kukoment na kuanzisha thread huko.Mkuu inaniumaa, haiwezekani kukawa na ubaguzi wa namna hiyo. Bora jukwaa lingekuwa halionekani ila tatizo jukwaa unaliona na kuingia unaingia afu unaishia kusoma tu za wenzio..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliwaomba nibadilishwe jina niitwe paka pori nikawapa sababu za msingi kabisa ila huu ni mwezi wa nne sijajibiwa chochote..,[emoji23][emoji23][emoji23] kwanza jukwaa lenyewe limekaa kisiasa siasaa. Wabaki nalo tuTuma maombi jamiiforums, then wanapitia coments zako na thread zako ili wajiridhishe kama kweli unaweza kuwa na u great thinker ili uruhusiwe kukoment na kuanzisha thread huko.