Jukwaa la elimu

JACKSON EM

New Member
Aug 26, 2019
1
0
Habari JF naomba ushauri nina ufaulu wa alama
Kiswahili C
English C
Geography D
History D
Civics D
Biology D
Je ni cozy au chuo gani kitanifaa zaid kulingana na ufaulu wangu?
 
wewe kalime matikiti morogoro utatoka sasa marks hizo na unajua ufaulu sku hzi ni wa juu sana we peleka matokeo hayo kwenye shamba la matikiti au hotel management
 
Kulingana na matokeo yako vyuo vingi Sana tuliza kichwa tu usipanic Wala kukurupuka naamin utatimiza ndoto yako
 
Habari JF naomba ushauri nina ufaulu wa alama
Kiswahili C
English C
Geography D
History D
Civics D
Biology D
Je ni cozy au chuo gani kitanifaa zaid kulingana na ufaulu wangu?

Ucjar mbona koz zpo nyingi tu zakusoma
Achana na uyo jamaa naona anapayuka tu
Mtu kaleta uzi asaidiwe ww ndo unazid kumkatisha tamaa.
Nitafute mdogo angu 0654327260
 
wewe kalime matikiti morogoro utatoka sasa marks hizo na unajua ufaulu sku hzi ni wa juu sana we peleka matokeo hayo kwenye shamba la matikiti au hotel management
Ww unaropoka au unaongea?? Kama hujui chuo knachochkua alama hzo kausha co kukejeli utadhani ww ndo ulifaulu sana...wat wengn vp kha!
 
Habari JF naomba ushauri nina ufaulu wa alama
Kiswahili C
English C
Geography D
History D
Civics D
Biology D
Je ni cozy au chuo gani kitanifaa zaid kulingana na ufaulu wangu?
Karibu Fulgent Careers, washauri wa masuala ya elimu na kazi ndani na nje ya nchi. Utajibiwa maswali yako yote na huduma za ziada kwa gharama ya Tsh 5000 tu. 0769 524 022.
 
Back
Top Bottom