jukwaa la ajira

jukwaa la ajira

mtu m-bayaaaa

New Member
Joined
Dec 20, 2021
Posts
4
Reaction score
4
HABARI ZA SAIZI

natafuta ajira ya ualimu wa shule za primary nina uzoefu wa kufundisha masomo yote ya primary na pia ni mtaalamu wa somo la computer(ict)

kwa mawasiliano zaidi 0653174431
 
Unawezaje kuwa na uzowefu wa kufundisha kila kitu mkuu?

Jitahidi kuwa specific kuwa ni masomo gani hasa unaweza kufundisha. Itasaidia kuliko kuwa vague kiasi hicho hata kuaminika itakuwa sio sana.
 
Ngoja waje wamiliki wa shule au wenye connection ya ajira
 
Back
Top Bottom