Bambanza jr.
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 355
- 36
Wanajf mniwie radhi kama nitakuwa nimekosea kuuliza swali hili, je mbona sijapata kuona jukwaa la afya? Kwani naamin kuwa afya zetu pia ni muhim. "angalizo; usinikebehi,unitukane au kunikejeli kwani mm ni mgeni"